Author: Ajira Portal
Tanzania Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)
The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a crucial government agency in Tanzania that is responsible for facilitating the recruitment of public servants across various government institutions. Established under the Public Service Act No. 8 of 2002 and later amended by Act No. 18 of 2007, PSRS operates as an independent department under the President’s Office. Its mission is to ensure transparency, merit-based hiring, and...
Ajira Portal Login: Simple, Fast and Secured
Ajira Portal Ajira Portal is a government-operated website in Tanzania, providing job seekers with a platform to search and apply for government positions. This platform also enables applicants to monitor the progress of their applications and view their interview results. Top Job Websites in Tanzania to Help You Land Your Dream JobWhether you’re looking for a government position, a private-sector job, or an internship, there are numerous...
Ajira Portal Login & Registration
Ifahamu Ajira Portal Najua ajira portal si neno geni kwa waTanzania walio wengi, haswa ambao wameingia katika soko la ajira tangua mwaka 2010 hadi kufikia leo. Lakini kwa vijana wengi ambao wamehitimu vyuo vikuu na vyuo vya ufundi hivi karibu, yawezekana wakakutana na neno hili "ajira portal" kwa mara ya kwanza, ikiwa wewe ni mmoja wao basi upo katika sehemu sahihi. Soma na bila shaka utajifunza kitu kutoka katika andiko hili ambalo ni mahsusi...
Ajira Portal: Your Gateway to Career Opportunities in Tanzania.
Are you looking for a reliable way to navigate job opportunities in Tanzania? That’s cool, but before you proceed, Check out these options. Whether you are a recent graduate or an experienced professional, Ajira Portal Tanzania is your one-stop solution for discovering employment opportunities across sectors. In this post, I will explain exactly how Ajira Portal can help Tanzanian job seekers access the latest job listings, understand the...
Mabumbe: Tanzania’s Leading Job Platform
Mabumbe: Tanzania's Leading Job Platform In today’s competitive job market, finding the right job or the perfect candidate can be challenging. That’s where Mabumbe, one of Tanzania’s leading job portals, steps in. Mabumbe.com has grown into a popular and trusted platform for job seekers and employers alike, offering various employment opportunities in various sectors across the country.
What is Mabumbe?
Mabumbe is an online job portal...
Ajira Plus – Nafasi Za Kazi
Ajira Plus ni app bora na yakipekee inayokuwezesha kupata nafasi za kazi mpya, kutengeneza CV yako, kujifunza jinsi ya kujibu maswali ya interview, kupata dondoo za namna sahihi ya kutuma maombi ya kazi kupitia mtandao pamoja na kupata scholarships. Lengo kuu la app hii ni kuhakikisha kwamba sio tu unatuma maombi ya kazi, bali pia maombi yako yanakubaliwa. Ndio sababu tumekuwekea kila kitu unachohitaji kama vile uwezo wa kutengeneza cv kupitia...
Huduma Mtandao
Huduma Mtandao ni programu inayokuwezesha kupata huduma mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali kupitia simu yako ya mkononi. Kuwa na programu hii ni sawa na kuwa na serikali kiganjani mwako kwani utaweza kupata huduma nyingi za serikali kwa urahisi na haraka zaidi kupitia simu yako. SIFA ZA Huduma Mtandao 1. Huduma za Serikali Weka serikali mfukoni mwako kwa kuchagua huduma ya serikali unayotaka haraka na kwa urahisi kwa kubofya...
ESS Utumishi
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, programu ya kusimamia huduma za wafanyakazi
UN jobs
Gundua fursa za kazi zenye kuridhisha ukitumia UNjobs.ai, jukwaa kuu la nafasi za kazi ndani ya UN, UNDP, UNICEF, WHO, FAO, WIPO, Benki ya Dunia, UNESCO, IMF, ADB na mashirika mengine mengi ya kimataifa. Jukwaa letu huru limejitolea kuendeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) na kuwawezesha watu binafsi kuchangia vyema katika changamoto za kimataifa. Vinjari safu nyingi za uorodheshaji wa kazi, zilizokusanywa kutoka kwa majukwaa mbalimbali...