MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 2 POST

Full time @Ajira Portal: Sekretariat ya Ajira (PSRS) in Sociology, Political Science, Community and Social Development
  • Post Date : November 28, 2024
  • Apply Before : December 4, 2024
  • Salary: TSh0.00 - TSh0.00 / Monthly
  • 2 Click(s)
  • View(s) 19
Email Job

Job Detail

  • Job ID 727
  • Career Level  Officer
  • Experience  Fresh
  • Gender  All
  • Industry  Sociology, Political Science, Community and Social Development
  • Qualifications  Certificate

Job Description

NAFASI:Msaidizi Maendeleo ya Jamii
MWAJIRI:Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi
IDADI:Nafasi 2
MWISHO WA MAOMBI:04-12-2024

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo
katika eneo lake,
ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala
ya maendeleo katika eneo lake
iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.
iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,
v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila
mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,
vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.
vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia
fursa na rasilimali zinazowazunguka.
viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.

Required skills

Other jobs you may like