Skip to content
Ajira Portal
  • Home
  • Candidates
    • Find a Job
    • Submit Resume
    • Candidate Dashboard
    • Jobs Applied
  • Search Jobs
  • Employers
    • Post A Job
    • Submit Company
    • Job Dashboard
    • Company Dashboard
  • Blog
  • Contact us
  • More Pages
    • Blog
    • Privacy Policy
    • Terms of Service
  • Log In / SignUp
Ajira Portal Login & Registration - Ajira Portal
Home / Ajira Portal / Ajira Portal Login & Registration

Ajira Portal Login & Registration

Posted on February 17, 2025March 12, 2025 By Ajira Portal

Ifahamu Ajira Portal

Najua ajira portal si neno geni kwa waTanzania walio wengi, haswa ambao wameingia katika soko la ajira tangua mwaka 2010 hadi kufikia leo. Lakini kwa vijana wengi ambao wamehitimu vyuo vikuu na vyuo vya ufundi hivi karibu, yawezekana wakakutana na neno hili “ajira portal” kwa mara ya kwanza, ikiwa wewe ni mmoja wao basi upo katika sehemu sahihi. Soma na bila shaka utajifunza kitu kutoka katika andiko hili ambalo ni mahsusi kabisa kukufahamisha juu ya wavuti hii ya serikali ijulikanayo kama ajira portal ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kufanya maombi ya kazi katika taasisi za serikali Tanzania.

Kabla ya kuendelea, hizi ni baadhi ya tovuti ambazo huposti nafasi za kazi Tanzania na Afrika Mashariki na huenda ukazihitaji huko mbeleni:

  1. Kazi Portal – Nafasi za Kazi Serikalini na Sekta binafsi Tanzania
  2. Kili Jobs Tanzania – Nafasi za Kazi Afrika Mashariki na Duniani Kotte.

Basi baada ya kukujuza kuhusu tovuti hizo mbili, turejee katika mada yetu ya Ajira Portal

Ajira Portal ni Nini Haswa?

  • Ajira Portal ni mfumo mahsusi kwa ajili ya waTanzania wanaotaka kuomba nafasi mbalimbali za kazi ndani ya Serikalini ili kuwa watumishi wa umma.
  • Mfumo huu wa ajira portal uinasimamiwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), na inarahisisha mchakato wa kuomba kazi za serikali nchini Tanzania, ikihakikisha mchakato unaofikika kirahisi na kwa ufanisi kwa Watanzania.
  • Ikiwa wewe ni mhitimu wa chuo kikuu au cha ufundi na unavyo vigezo vya kuajiriwa serikalini, na ungependa kuwa mtumishi wa umma, ni muhimu sana kuwa unatembelea ukura rasmi wa ajira portal kupitia https://portal.ajira.go.tz/. Ikiwa tayari upo registered katik mfumo huu wanaweza kuingia na kusimamia (kufuatilia muendelezo) maombi yao ya kazi, wakati watumiaji wapya wanaweza kufungua akaunti ajira portal kwa urahisi (Ukurasa rasmi wa ku-register ajira portal huonekana kama katika picha tuliyoambatanisha hapa chini).

Ajira Portal Registration – Kuunda Akaunti Mpya

Kama wewe ni mtumiaji mpya, utahitaji kufungua akaunti kabla ya kuanza kuomba kazi. Mchakato wa usajili ni rahisi:

  1. Tembelea ukurasa wa Ajira Portal Login.
  2. Bonyeza kitufe cha “Register” kilicho kona ya juu ya ukurasa.
  3. Jaza fomu ya usajili kwa jina kamili, barua pepe, na nywila.
  4. Thibitisha usajili kupitia barua pepe yako.

Baada ya kusajili, utaweza kuingia na kuanza kuomba kazi. Kumbuka: Ikiwa umesahau nywila yako, unaweza kubonyeza “Forgot your password?” ili kupata maelekezo ya jinsi ya kuirejesha. Ajira Portal ni njia rahisi na ya haraka ya kufikia nafasi za kazi serikalini Tanzania.

Ajira Portal Login – Jinsi ya Kuingia Ktk Akaunti Yako

Bonyeza “Login” kuingia kwenye akaunti yako.

Tembelea tovuti ya Ajira Portal kwa https://portal.ajira.go.tz

Ingiza barua pepe yako au jina la mtumiaji.

Weka nywila yako.

Post navigation

Previous: Ajira Portal: Your Gateway to Career Opportunities in Tanzania.
Next: Ajira Portal Login: Simple, Fast and Secured

Categories

  • Ajira Portal (4)
  • Ajira Portal Login (4)
  • Ajira Portal News (4)
  • Ajira Portal Registration (4)
  • Kazi Portal (3)
  • Uncategorized (33)

Our Office Location

Recent Posts

  • Tanzania Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)
  • Ajira Portal Login: Simple, Fast and Secured
  • Ajira Portal Login & Registration
  • Ajira Portal: Your Gateway to Career Opportunities in Tanzania.
  • Jiunge Whatsapp Channel

Recent Comments

No comments to show.

Ajira Portal .Tz

Ajira Portal is Tanzania’s leading Jobs board where we share recent job vacancies from government and private organizations.

Jobs By Region

  • Jobs in DSM
  • Jobs in Arusha
  • Jobs in Mwanza

Jobs By Category

  • Development Jobs
  • Marketing Jobs
  • Sales Jobs

Ajira Portal © 2025, All Right Reserved

  • Home
  • Whatsapp
  • Telegram
  • Offers