Ni rahisi kabisa. fuata maelekezo katika picha. Inawezekana kwa watumiaji wa Android na iPhone pia. Install app usipitwe na taarifa. Tumia hatua hizi kuinstall website yetu yoyote kuifanya kuwa App. Ajira Portal, Kazi Portal, Ajira Point, UN Jobs
🔥Step 01:
Ukishafungua https://ajiraportal.tz/ kwenye browser, bofya dots tatu juu kulia. (Tizama picha hapa chini, na fuatisha maelekezo.)
🔥 Step 02:
Bofya hii option, add to home screen. (kama inavyoonekana katika picha hapa chini)
🔥 Step 03:
Click install. na utaikuta ajira portal app kwenye homescreen. (Picha hii hapa chini )
🔥 Step 04: (Mwisho – App Installed)
The app is installed. 😁😄. Pata updates 24/7… na unaweza kutumia steps hizo hizo kuinstall kaziportal.com, ajirapoint.com, ama unjobz.com .. Enjoy. 🤝🏻